"Aliyepewa amepewa japo ataongezewa"- Doro & TMK Wanaune familyJose Mourinho atakuwa miongoni mwa wachambuzi wa soka watakaofanya kazi na kituo cha Russia Today wakati michuano ya kombe la dunia itakapokuwa ikichezwa nchini Russia. Jose atafanya kazi kwa siku 4 tu RT na malipo yake yatakuwa £1.6m au £400,000 kwa kila siku - kwa maana hiyo ndani ya siku 4 atakazofanya kazi Jose ataondoka na kiasi cha shilingi billioni 4,987,627,312.
UA simba linda ng'ombe[emoji3] [emoji3] UA simba pata wife.
Mungu ni mwema. Azidi kukujenga kiimani maana kila kitu chafanyika na kutimia kwa IMANI.Kwa kweli Mola wangu ni mwaminifu sana kwangu!
HahahahaJoka lenye makengeza
Kwa kweliMungu ni mwema. Azidi kukujenga kiimani maana kila kitu chafanyika na kutimia kwa IMANI.
By Almighty One speedamani iwepo na iendelee
Kwa kweliTunahitaji baraka za Muumba wetu
Indeedsiku yetu iwe na baraka
Kwa kweli walahiamani iwepo na mifukoni.....
In Almighty One speedamani ni ya nchi nzima..
[emoji317] [emoji317] [emoji317]
Jamani mbona mimi nina iPhone X
Jamaa cha pombe huyu! Hahahaha