Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-03-06-00-45-58.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Halima white?
Huo uchochoro unatokea stendi ya Temeke hospitali mtaa wa Sudan.
Huo uchochoro wa Wahaya kwa ajili ya malighafi
Halima. Bado nina barua zake. Ni mtunza kumbukumbu mzuri. We acha tu mkuu. Babake alikuwa maalim fulani hivi lakini "kafir" sikujali.

Huduma ya Wahaya sikuwahi kuionja maishani. Nilikuwa/bado mwoga wa TANESCO balaa !!!
 
Back
Top Bottom