Marahaba mama.Hee kumbe kuna watekaji wengi humu hahaha
Za asubuh nzuri,shikamoooo
Mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Andjul
I’m gr8 ndugu yangu!ISIS habari ya asubuhi
Hiyo shikamoo yake mbona ya kulegea? Nimemuelewa Numbisa, pole yako kwa kusindikiza watu.Umemkomesha huyo andjul, umemtwanga shikamoo ya chapuchapu! [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] Huku nikipiga mluzi! Mimi nae, sasa sijui nimendika nini! Salamaleko pale kwa mpigo? [emoji23][emoji23][emoji42][emoji42][emoji124][emoji124][emoji124]
Hahahahhaha yaan wewe,hio salamu ngoja carba aje anisaidie kujibuUmemkomesha huyo andjul, umemtwanga shikamoo ya chapuchapu! [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] Huku nikipiga mluzi! Mimi nae, sasa sijui nimendika nini! Salamaleko pale kwa mpigo? [emoji23][emoji23][emoji42][emoji42][emoji124][emoji124][emoji124]
Hahahhahaha jaman cole ana kazi kweli kwa utan wa humuHiyo shikamoo yake mbona ya kulegea? Nimemuelewa Numbisa, pole yako kwa kusindikiza watu.
Wewe na Kichwa kichafu sijui mna mkosi gani?!!! Hamjawahi kufanikiwa hata kwenye ndoto,achana na ya live live[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imbeni tu kwaya kama alivyo amua Cole Williams.Kijana siku hizi ana amani tele