Ni kweli ! Niko hapa baharini masakiWewe utafanya watu wafunge safari wewe. Mzee wa maini, Bigbaba, na Cole aisee watakutokelezea hapo sasa hivi waje washuhudie mubashara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Five JacksonNew Edition
Wengi wanasema pengine ndiyo hasa lengo lake la kugombea urais. Kupiga hela za stocks, forex na mengineyo yenye kunufaisha makampuni yake. Binti yake amenyaka contracts za Wachina na Wakorea zenye mamilioni ya dola. Mwenyewe akisukuma tweet tu inaathiri stocks na Forex duniani. Imagine walio karibu naye wanavyoweza kupiga pesa. Halafu anawazuga Wamarekani kuwa eti hataki laki 4 zao za mshahara !Poa mkuu ni tabu hila kweli Trump anapiga forex kinyama
Labda anataka kutambika (in Mwl. Nyerere's voice)Utaka kuwa mtani wake Tanzania hatuulizani makabila labda kwa utani kula like
[emoji102]Dar es Salaam city of rain
Why not Kibiti?Why kibiti
Hupo wewe sijaona likes zako umekuja kichwa kichafu naye utamwona muda si mrefuIla likes zmepungua umu ndan[emoji37][emoji3]
Indeed, my city Dar es Salaam[emoji102]
Upo darisalam wewe kumbe...
Hapo sasa ni vita ngoja aje aamue mwenyeweAje roho yangu itulie kwakweli
Mkuu vaa gwandaNashindwa kuelewa shida ni nini kwakweli ila hali si shwar
Wakuu, tuzingatie likes na siyo kukimbiza uzi tu. Posts huku nyuma hazina likes kabisa. Sanasana moja au mbili; na hii haikubaliki! Our motto is TOA LIKES POKEA LIKES. Tusijisahauuuu !!!Ila likes zmepungua umu ndan[emoji37][emoji3]
Sijui wauwaji wanataka niniNashindwa kuelewa shida ni nini kwakweli ila hali si shwar
AMUN RAEvery day it will rain
OkWakuu, tuzingatie likes na siyo kukimbiza uzi tu. Posts huku nyuma hazina likes kabisa. Sanasana moja au mbili; na hii haikubaliki! Our motto is TOA LIKES POKEA LIKES. Tusijisahauuuu !!!
Haya Mimi nipo kolomije mkuu welcome sana[emoji102]Indeed, my city Dar es Salaam