mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Lakini suala la kitlya bado liko mahakamani we need proof kama money laundry case why wapo wawili tu kuna visasi nchi hii sanaMzee Kitillya. Namfahamu personally. Imagine kutoka kuwa mkurugenzi wa TRA kwenye pesa za kuchota tu na sasa kujisaidia kwenye ndoo. Tamaa ya ufisadi na kutajirika kupita kiasi masikini tena bila kujali wanyonge wasio hata na aspirin huko mahospitali. Inahuzunisha sana!
Nipo mkuuMzee wa liver
Hahaa vita gani tena mkuu?Hapo sasa ni vita ngoja aje aamue mwenyewe
Ooh pole sana. Mdogo wake yule wa California aliyekuwa na gereji ya magari namfahamu vizuri. Alikuwa anaishi maisha ya kawaida tu mpaka Waswahili wakawa wanasema Ooh kakake Mkrugenzinwa TRA si amchotee mdogo wake naye kidogo? We acha tu.Ndugu yangu kabisa!
You love swimming najua hiloNi kweli ! Niko hapa baharini masaki
Kumbe ndo kafungiwa na huyo eehHupo wewe sijaona likes zako umekuja kichwa kichafu naye utamwona muda si mrefu
[emoji102]Nipo mkuu
Hila for first time in America wamepata rais ambaye ni tajiri Trump tower ten times zaidi ya white houseWengi wanasema pengine ndiyo hasa lengo lake na kugombea urais. Kupiga hela za stocks, forex na mengineyo yenye kunufaisha makampuni yake. Halafu anawazuga Wamarekani kuwa eti hataki laki 4 zao za mshahara !
Thunderstorms huogopi?Ni kweli ! Niko hapa baharini masaki
HahahahahahaLabda anataka kutambika (in Mwl. Nyerere's voice)
AMUN RAUNIVERSE TAKE CONTROL
Jamani sijaona like umkuty sijui nani atoe like tumpe likeWakuu, tuzingatie likes na siyo kukimbiza uzi tu. Posts huku nyuma hazina likes kabisa. Sanasana moja au mbili; na hii haikubaliki! Our motto is TOA LIKES POKEA LIKES. Tusijisahauuuu !!!
Ticha kapata moto kinyama
Hahahahahaha unasema!!!!!!!!!!Kumbe ndo kafungiwa na huyo eeh
Beki Tatu mamboHello
Tuliza kichwa mkuu. Mchezo huu hautaki hasira ati [emoji23][emoji23][emoji23]Am not pretend like I don't care, I don't care for Sure
Naomba muite kichwa aje hapa [emoji23] [emoji23]Hahahahahaha unasema!!!!!!!!!!
Kichwa Kichafu alimtuhumu kuwa eti yeye hatoagi. Sijui kama ni kweli. Kapost wapi ile lugha yake nikamwage likes?Jamani sijaona like umkuty sijui nani atoe like tumpe like