Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane, mwenye umri wa miaka 24 ameamua kusalia katika klabu ya Tottenham kwa zaidi ya msimu mmoja lakini timu hiyo bado inakabiliana na ugumu wa kumbakiza mlinzi wa kati raia wa Ubelgiji Alderweireld, na mlinzi wa kushoto Danny Rose, ambao wote wanawaniwa na Manchester United.
Real Madrid wanamtaka
 
Screenshot_2018-03-09-10-10-37.jpg
 
Sasa boss tarehe 23/6 hakikisha unatuachia kaurithi kabisaa sie ndugu zako.

Kisha kapange mstari wa mbele yaan zaid ya wote wasalimie akina kanumba,ngwair ukiwaona huko,waambie huku siku hizi namba zinasomeka hivi wanitolaga filipo in koromije languagr(one two three four)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MWANAMKE ACHOMWA MOTO SEHEMU ZA SIRI

Mkazi wa kijiji cha Masilu, Eanula Kiswaga (29) wilayani Wanging’ombe, Mkoa wa Njombe, anadaiwa kuchomwa moto sehemu za siri na mumewe, Exzaud Ngulo (32) kwa madai ya kunyimwa unyumba.

Akizungumza Fanula alisema mumewe alimfanyia kitendo hicho baada ya kumkaba shingo, kisha kumfungia ndani siku mbili kwa madai ya kutaka apewe sababu za yeye kutumia uzazi wa mpango.

“Nimepigwa na mume wangu, alikuja nyumbani akananiambia kwanini sizai… nilifanyiwa operesheni mwezi wa sita mtoto akafa na kuaza kunambia ntaona, akachukua kijinga cha moto na kuanza kunichoma, akanikanyaga na kunikaba,” alisema Fanula.

Aliongeza “Baada ya hapo siku ya pili aliamka ili aende shambani, nikamwambia naomba nitafutie dawa maana hivi vidonga vimeanza kuchimbika hakunijibu, kwani aliondoka… hapo nyumbani tulikuwa tunanyanyasika kutokana na mume wangu kufa nay eye kunirithi kwa kuniambia kuanzia sasa mimi ndio mume wako, akawa ananiingilia kinguvu na akanipa mimba ambayo nilipasuliwa,” alisema Fanula.

Alisema licha ya kufanyiwa ukatili huo wa kuchomwa moto na kukabwa shingo, bado mmewe huyo alimtelekeza na kumwacha nyumbani bila kumpeleka kituo cha afya ili aweze kupatiwa matibabu. “Baada ya kunifanyia tukio hilo, alinifungia ndani baada ya siku mbili, ya tatu shangazi na mama walipita kunisalimia baada ya kunikuta nina hali mbaya wakaita majirani kwa ajili ya kunipeleka hospitali, maana macho na mwili mzima vilikuwa vimevimba,” alisema Fanula.

Hata hivyo, wakazi wa kijiji hicho, walisema wanasikitika juu ya tukio ambalo amemfanyia mke wake na kuitaka serikali kumchukulia hatua za kisheria mtuhumiwa huyo kwa kuwa amekuwa na kawaida ya kufanya matukio ya kiukatili hata kwa watoto wake.
 
Back
Top Bottom