Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kati ya viumbe wenye uti wa mgongo, damu imetengenezwa kwa seli za damu zinazoelea katika umajimaji unaoitwa plasma ya damu. Plasma, inayoundwa kwa 55% ya giligili ya damu, ambayo hasa ni maji (90% kwa kiasi), [1] na ina protini, glukosi, ioni za madini, homoni, dioksidi ya kaboni (Plasma ikiwa ndiyo chombo kikuu cha usafirishaji wa bidhaa taka),
 
chembe za kugandisha damu na seli za damu zenyewe. Seli za damu zilizo kwenye damu hasa ni seli nyekundu za damu (zinazofahamika pia kama RBC yaani Red Blood Cells au erithrosaiti) na seli nyeupe za damu, zikiwa pamoja na lukosaiti na chembe za kugandisha damu.
 
Seli nyingi zaidi katika damu za wanyama wenye uti wa mgongo ni seli nyekundu za damu. Seli hizi zina himoglobini, protini yenye madini ya chuma, ambayo huwezesha usafirishaji wa oksijeni kwa kujiunganisha kwa hali ya kujirudia na gesi hii ya kupumua na kuongeza kwa kiasi kikubwa umumunyifu wake katika damu. Kwa upande mwingine, dioksidi ya kaboni inasafirishwa karibu kabisa nje ya seli ikiwa imeyeyushwa ndani ya plazma kama ioni ya bikaboneti.
 
Damu ya wanyama wenye uti wa mgongo huwa nyekundu yenye kung'aa wakati ambapo himoglobini yake imewekewa oksijeni. Wanyama wengine, kama vile krusteshia na moluska, hutumia hemosianini kubeba oksijeni, badala ya himoglobini. Wadudu na baadhi ya moluska hutumia ugiligili unaoitwa hemolimfu badala ya damu,
 
tofauti ikiwa kwamba hemolimfu haipatikani katika mfumo wa usambazaji uliofungwa. Katika wadudu wengi, "damu" hii haina molekuli zinazobeba oksijeni kama vile himoglobini kwa sababu miili yao ni midogo na hivyo mfumo wao wa kupumua unatosha kusambaza oksijeni.
 
Haya mamiguu dah!

Ukibebeshwa haya jasho linakutoka aisee. Wandazi ofu kiriesheni haki ya nani [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
tapatalk_1520617498960.jpeg
 
Wanyama wenye uti wa mgongo na walio pia na taya wana Mfumo wa kingamaradhi unaotegemea kwa kiasi kikubwa seli nyeupe za damu. Seli hizo husaidia kupinga maambukizi na vimelea. Chembe za kugandisha damu ni muhimu katika ugandishaji wa damu. [2] Athropodi, zinazotumia himolimfu, zina hemosaiti kama sehemu ya mfumo wao wa kinga.
 
*Naulizaaa,, Tumbili [emoji205][emoji205]zikiwa tatu[emoji205][emoji205][emoji205]bado ni tumbili ama ni tutatu?? Hii kitu imenisumbua Jana cjalala!!*[emoji27][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nabii Tito
 
Back
Top Bottom