Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Usimtishe bwana, ahera ipo tu.. Mzee wa liver usihofu mie pia ntaunga tela.Sasa boss tarehe 23/6 hakikisha unatuachia kaurithi kabisaa sie ndugu zako.
Kisha kapange mstari wa mbele yaan zaid ya wote wasalimie akina kanumba,ngwair ukiwaona huko,waambie huku siku hizi namba zinasomeka hivi wanitolaga filipo in koromije languagr(one two three four)
Jaman ee andiken wosia nitajen kwa herufi kubwa kwenye urithi jaman msituache tumechalala choka mbayaaUsimtishe bwana, ahera ipo tu.. Mzee wa liver usihofu mie pia ntaunga tela.
HahahahahaWaende Los Angeles wakaandamie huko. Ila hata huko ni lazima kupata kibali cha mamlaka zinazohusika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]