Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ooh pole sana. Mdogo wake yule wa California aliyekuwa na gereji ya magari namfahamu vizuri. Alikuwa anaishi maisha ya kawaida tu mpaka Waswahili wakawa wanasema Ooh kakake Mkrugenzinwa TRA si amchotee mdogo wake naye kidogo? We acha tu.
Harrison k wako wanne tu kwao! Wanaume wawili, mmoja amefariki na wadada wawili....hao ndiyo tumbo moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…