Kwa wasouti (k.m, wadudu, konokono, minyoo, n.k) sehemu za ubongo hutofautiana sana na muundo wa wauti hivi kwamba ni vigumu kufanya ulinganishi wowote wa maana isipokuwa kwa misingi ya jenetiki. Makundi mawili ya wasouti hasa yana bongo changamani: athropoda (wadudu, krasteshia, araknida, na wengine), na sefalopoda ( pweza, ngisi, na moluska )wengine kama hao