Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miongoni mwa wauti wasio mamalia , sehemu ya juu ya ubongonyuma imefunikwa kwa safu zisizo tete kwa ulinganisho ziitwazo paliamu.[40] Katika mamalia, paliamu hugeuka na kuwa katika muundo moja changamani wa safu 6 iitwaye gamba-jipya au gamba-sawa. Katika jamii ya nyani, gamba-jipya imekuwa kubwa sana, hasa sehemu iitwayo ndewe ya mbele. Kwa binadamu, upanukaji huu wa ndewe ya mbele hukithiri, na sehemu nyingine za gamba pia huwa kubwa kabisa na changamani. Haipokampasi ya mamalia pia ina muundo tofauti.
 
Kwa bahati mbaya, historia ya mabadiliko ya sehemu hizi katika mamalia, hasa gamba lenye safu sita, ni vigumu kufuatilia.[41] Hii kwa kiasi kikubwa ni kutokana na tatizo la kukosa kiungo. Wahenga wa mamalia, waitwao sinapsidi, waligawanyika kutoka kwa wahenga wa wanyama watambaao na ndege wa kisasa yapata miaka milioni 350 iliyopita.
 
Hata hivyo, mgawanyiko wa hivi karibuni ulio na mabadiliko dhahiri miongoni mwa mamalia ulikuwa mgawanyiko kati ya monotrimata (kinyamadege na ekidna), wambeleko (panya opusu, kangaruu, n.k) na wanyamakondo (wengi mamalia wanaoishi), ambayo ilifanyika takribani miaka milioni 120 iliyopita. Bongo za monotrimata na wambeleko ni tofauti na zile za wanyamakondo kwa namna fulani, lakini zina gamba na haipokampasi zenye umbo la kimamali.
 
lakini zina gamba na haipokampasi zenye umbo la kimamali. Kwa hivyo, maumbo haya lazima yaligeuka kati ya miaka milioni 350 na 120 iliyopita, kipindi ambacho hakijaacha ushahidi wowote ila visukuku ambavyo havihifadi tishu laini kama ubongo.
 
Bongo za binadamu na jamaa wengine wa nyani huwa na miundo sawa na bongo za mamalia wengine, lakini ni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa mwili.[26] Wingi wa ukubwa huu hutokana na upaukaji mkubwa wa gamba, ukilenga hasa katika maeneo yanayohudumia kuona na mawazo ya awali.[
 
Mtandao wa mchakato wa kuona katika jamaa ya nyani ni chanagamano sana, ikijumuisha angalau maeneo 30 yanayoweza kutofautika, ikiwa na miunganiko ya mitandao ya kuajabia. Haya yote yakichukuliwa pamoja, uchakataji wa hisi za kuona hutumia zaidi ya nusu ya gamba-jipya ya wanyama jamaa ya nyani.[
 
Sehemu nyingine ya ubongo ambayo imekuwa kubwa zaidi ni gamba-mbele ya ubongombele, ambayo kazi ni vigumu kueleza kwa maneno machache, lakini inayohusika na upangaji, kumbukumbu inayotumika, motisha, tahadhari, na udhibiti utendaji.
 
Ubongo unajumuisha aina mbili kuu za chembechembe: neuroni na glia.[44] Aina hizi mbili kijumla ni nyingi katika ubongo, ingawa chembe glia zinazidi neuroni kwa uwiano wa 4 kwa 1 katika gamba la ubongo.[45] Glia huwa katika aina mbalimbali, ambazo hufanya kazi kadhaa muhimu, ikiwa ni pamoja na kuhimili mwili, kudhibiti metaboli kudhibiti halijoto, na uongozaji wa kukua.
 
Kipengee kinachofanya neuroni kuwa muhimu sana ni kwamba, tofauti na glia, zina uwezo wa kutuma vichocheo kwa nyingine zilizo hatua ya mbali.[46] Glia hutuma vichocheo hizi kwa njia ya akzoni, fumwele nyembamba ya protoplazimu inayotoka katika mwili wa chembe na kuelekea, kwa kawaida ikiwa na matawi kadhaa, maeneo mengine, wakati mwingine ya karibu na wakati mwingine katika sehemu mbali ya ubongo au mwili.
 
Umbali ambao akzoni inaweza kwenda ni ya kustaajabisha: kwa mfano, ikiwa chembechembe yenye umbo haram za gamba-jipya zikikuzwa ili mwili wa chembe hiyo iwe sawa kwa ukubwa na binadamu, akzoni yake, ikikuzwa kwa kiwango sawa, inaweza kuwa kebo yenye sentimita kadhaa katika kipenyo wenye urefu wa zaidi ya kilomita.
 
Akzoni hizi husambaza vichacheo katika umbo la mipigo ya kemikali-meme aitwaye vtendo tarajiwa, vinayodumu muda usiozidi kipande kimoja cha mmoja juu ya sehemu moja ya sekunde na kusafiri katika akzon katika kasi ya kati ya mita 1-100 kwa sekunde.
 
Baadhi neuroni huzua vitendo tarajiwa kila wakati, katika viwango vya 10-100 kwa kiala sekunde, kwa kawaida katika mifumo isiyotabirika na isiyo ya kudumu; neuroni nyingine huwa tulivu wakati mwingi, lakini mara chache kwa ghafla huzua vitendo tarajiwa ya uwezo.
 
Hizi ndoto za yego aliootaaa weee mwisho wa siku kwa unyonge ikabidi ajipachike ukaka yaishe

n
Yego hana msimamo na ni mwoga balaa. Akitingishwa kidogo tu huyoo anatimua mbio. Na mbinu pekee aliyonayo ni zile glasi za mvinyo mwekundu, mabunda ya maua na sometimes viatu vya mchuchumio. Mambo yakichacha kidogo tu huyooo anatimua...

Bro yeye yuko smoooth na hakati tamaa. Viparabozi hapa na pale, mchomekeo wa kamsemo katamu there......Naamini pole pole tu mtafika...
 
Kwendaaa unawaza mahari hebu huko mie nijandae na man u vs liver
Sasa hatubeti safari hii?

Mahari namsubiria yule jamaa fundi wa avatar, yule aliyejipiga dole likatokelezea jichoni. Yule nadhani mshamba mshamba naweza piga hata ng'ombe hamsini. Bro mjanja mjanja nisije nikaambulia kuku kama nilivyokuwa naahidiwa na wa kusoma kabla jiniazi Wenga hajamuokoa....
 
Yego hana msimamo na ni mwoga balaa. Akitingishwa kidogo tu huyoo anatimua mbio. Na mbinu pekee aliyonayo ni zile glasi za mvinyo mwekundu, mabunda ya maua na sometimes viatu vya mchuchumio. Mambo yakichacha kidogo tu huyooo anatimua...

Bro yeye yuko smoooth na hakati tamaa. Viparabozi hapa na pale, mchomekeo wa kamsemo katamu there......Naamini pole pole tu mtafika...
Hahahahahaa maskin yego hahahah

Cole bana ana vimaneno kama vya myoya sema wote wanatumia lugha tofauti
 
Back
Top Bottom