[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani me nimemaanisha nini mkuu??Sikuwa na maana hiyo [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji108] [emoji108]
Good. Ungeitika "Abeee " ningezimia kwa maumivuNipo hapa
We learn thru mistakesMzee Kitillya. Namfahamu personally. Imagine kutoka kuwa mkurugenzi wa TRA kwenye pesa za kuchota tu na sasa kujisaidia kwenye ndoo. Tamaa ya ufisadi na kutajirika kupita kiasi masikini tena bila kujali wanyonge wasio hata na aspirin huko mahospitali. Inahuzunisha sana!
Numbisa hizi picha unatolewa wapi?
Hahaa maumivu ya nini tena??[emoji4] [emoji4] [emoji4]Good. Ungeitika "Abeee " ningezimia kwa maumivu
OkNaziona ISIS