Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tutumie Kiingereza au Kiswahili kama lugha ya kufundishia? Wikipedia hii naona sielewi kinachoendelea...Akzoni hizi husambaza vichacheo katika umbo la mipigo ya kemikali-meme aitwaye vtendo tarajiwa, vinayodumu muda usiozidi kipande kimoja cha mmoja juu ya sehemu moja ya sekunde na kusafiri katika akzon katika kasi ya kati ya mita 1-100 kwa sekunde.
Mie nipo tayar kwa beti likes mia man u akifungwaSasa hatubeti safari hii?
Mahari namsubiria yule jamaa fundi wa avatar, yule aliyejipiga dole likatokelezea jichoni. Yule nadhani mshamba mshamba naweza piga hata ng'ombe hamsini. Bro mjanja mjanja nisije nikaambulia kuku kama nilivyokuwa naahidiwa na wa kusoma kabla jiniazi Wenga hajamuokoa....
Myoya yule kiboko. Anajua kila kitu kinachoendelea humu na anavyotoa observations zake ni kwa ufupi sana. Ukiwa na jirani wa hivyo ni bora tu uhame kwa sababu atakuwa anajua kila kitu unachofanya...Hahahahahaa maskin yego hahahah
Cole bana ana vimaneno kama vya myoya sema wote wanatumia lugha tofauti
Hahahahhaa yule wala hana hata wazo hilo zaid ya kutengeneza avatarSasa hatubeti safari hii?
Mahari namsubiria yule jamaa fundi wa avatar, yule aliyejipiga dole likatokelezea jichoni. Yule nadhani mshamba mshamba naweza piga hata ng'ombe hamsini. Bro mjanja mjanja nisije nikaambulia kuku kama nilivyokuwa naahidiwa na wa kusoma kabla jiniazi Wenga hajamuokoa....
Wikipedia wataalamu wa lugha hahaha hata mtu hauelew kilugha walichoandikaTutumie Kiingereza au Kiswahili kama lugha ya kufundishia? Wikipedia hii naona sielewi kinachoendelea...
Jiran kakaa kama cctv camera kila tukio kalidakaMyoya yule kiboko. Anajua kila kitu kinachoendelea humu na anavyotoa observations zake ni kwa ufupi sana. Ukiwa na jirani wa hivyo ni bora tu uhame kwa sababu atakuwa anajua kila kitu unachofanya...
Jana birthday yake Cobra jamani!
Halafu haishii hapo tu...Usiniulize miye...[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️. Silent hunter...if you know what I mean....Jiran kakaa kama cctv camera kila tukio kalidaka