Sasa mambo ni mapya! Trust your intuition walahi, sky is not a limit!Asante kwa ufafanuzi. Kuna profesa mmoja wa Anthropolojia mwanamke alieleza dhana nzima aliyowakilisha ISIS katika dhana nzima ya fertility na uumbaji kwa kina sana mpaka mambo ya DNA...Mwingine akazama kwenye Agano la Kale (Adam na Eva), masanduku ya agano (kumbe yalikuwa mawili), Musa, Akina Enock kupaa kwenye machariots yawakayo moto, Daniel, Kitabu cha Ufunuo...Dunia hii we acha tu !!!
Change your mind change your life!Kwa mliosoma kitabu cha Walter Rodney (How Europe Underdeveloped Africa), hiki sasa kinaelezea mambo kwa uwazi zaidi. Afrika - mother of humanity, cradle of civilization, the wealthiest continet...and yet the poorest...Painful paradox....Who can stop the looting machine?
View attachment 710380
SafiMojawapo kati ya ndoa zilizodumu sana Hollywood
View attachment 710409
Salama kaka habari ya kuadimikaHabari yako dada
These are historical facts. There is no negativity here. Slave trade happened. We were colonized. Our natural and human resources are still being rooted. These are facts! Are you suggesting that we should not talk about these issues because by doing so we invite negativity?Change your mind change your life!
Usitamke anything negative!
Africa tutafika tu, hata Europe ilikuwa hivyo!
Kila kitu na wakati wake chini ya jua!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah kweli uchawi upo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh siku hizi una maneno kama jiran ake carba
Shimbaaaaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sema. Siku hizi wala hunisalimii. Hooooooooooooooovyooooooooooooooooooooooooooo !!!Shimbaaaaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]