Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mmeunganisha nguvu naona. Mshindwe na mlegee. Hapa niko natafuta picha ya tandu...[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe ongea kwanza na huyu anaconda [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Nice anacondaMmeunganisha nguvu naona. Mshindwe na mlegee. Hapa niko natafuta picha ya tandu...[emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe ongea kwanza na huyu anaconda [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️View attachment 710657
Uzi huu ni shida mkuu. Yaani gif ya mende imeenda kutafutwa...Hahahahahahahahah lol! Nyie watu wachokozi sana kwi kwi kwi kwi eti naiona picha ya mende hahahahahahah dah! picha ya mende inapambwa sebuleni!!!!! andjul
Hahahaha
Hana madhara huyu nyoka. Safi sana !!!Nice anaconda
Me too [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Forever and ever !!!
Gr8 kwa kweliHabari za jioni
IndeedForever and ever !!!
Walimu wa hesabu jamani wana dhambi. Mtu anakuja anaandika tu lifomyula ubaoni na mialama hii ya Kigiriki. Wala hawaambii alama hizi zinamaanisha nini. Basi mnakariri tu lifomyula hata bila kuelewa implications zake. Hovyo sana !!!
Uzi huu ni shida mkuu. Yaani gif ya mende imeenda kutafutwa...
Jamaniii!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Na uzee wangu huu nianze kupamba ghetto?
Hizi shughuli zenu akina Yego wote ili mu-atrakti tu yego twa kike twenzenu...
Mna jijua makundi yenu..
Yego wa kiume:
1.Shimba
2.Cole
3.yegomasika
Yego wa kike:
1.Numbisa
2.carba
3.Jakitoo
4.Demiss
Vutianeni sasa kwa maana hatujui ya mbeleni nani atakuwa na nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tia kwenye fremu hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee!!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] kwa matumizi ya baadae