Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shukrani Mkuu nitakuwa tayari kufanya hivyo. Huwezi jua labda SYB ana access na sehemu nyeti ambazo wengine hatuna.

 
Shukrani Mkuu nitakuwa tayari kufanya hivyo. Huwezi jua labda SYB ana access na sehemu nyeti ambazo wengine hatuna.
Hapana. Mkulima wa nyanya kutoka Koromije niwe na access ya wapi ndugu yangu? Nimemsoma Noam Chomsky sana na ana mawazo mazuri kweli kuhusu baadhi ya matatizo ya viongozi wa Afrika. Wakati mwingine mpaka inauma ndiyo maana huwa najitenga na hayo. Kikwete aliniumiza sana alipokubali kutia sahihi sheria ya makosa ya mtandao mwishoni kabisa ya utawala wake; na hivyo kuharibu mojawapo ya iliyopaswa kuwa legacy kubwa kwa nchi yake. Imagine kama angeuacha ule mchakato wa katiba mpya ukaenda mpaka mwisho na akatuacha na katiba mpya. Legacy yake ingekuwaje katika historia ya nchi yetu? Aaaaaargh...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…