carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Born Town yego safi sana NGUMU tu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu kwetu jirani japo hakuna fensi...Jirani na hutu tumisemo twako,mmh!!
Huku kheri kabisaMungu ashukuriwe...mm salama kabisa sijui kwako
We mzee kwenye namba nakukubali sanaMimi??? Ndoa ya yego[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kwenye harakati zake huku akisindikizwa na vimaua vya kichoyo na viglasi nusu mvinyo mwekundu amewahi kufanikiwa hata siku moja?
Data given:
1.Pimbi=failure(carba's formula)
2.Kichwa kichwa= Pimbi
3.Cole Williams=Kichwa kichafu
4.Yegomasika=Cole Williams
Since 4=3,3=2,2=1...
Therefore 4=1(by similarities formula)
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Pole sana andaetini wetu[emoji120] [emoji120]
Asante sana jirani.Karibu kwetu jirani japo hakuna fensi...
Yaani ukitaka kuelewa lazima akili yako iwe kushoto kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ningefungwa leo mbona ningesingizia ubusy wa forex acha tu raha ya ushind kujiachia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waone wanavyojipa moyo.
Idiots(in andjul's voice)
Umejuaje aisee au ulipitia darasa la marehemu Shekhe yahaya??Kijana mwenye ndevu zake
X imekukumba mkuu??![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Serikali haijahusika?Handeni.Watu wawili wamefariki dunia na nyumba sita zikiezuliwa na upepo wilayani Handeni mkoani Tanga kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana, Machi 9, jioni.
Akielezea tukio hilo Diwani wa kata ya Msasa wilayani hapa Hossein Omari amesema mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Mhando (32) amefariki baada ya kupigwa na radi wakati akitoka msikitini saa kumi jioni.
Aaaaaah wapiiiiWewe naona itabidi uattend somo la “Ugumu 101” ndio utaelewa kuwa, wagumu zei mini wati zei sei! [emoji1][emoji1]
Baghosha !!!Mavituzi
Yataka moyo sana...Wakati mwingine kama mbwai mbwai tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]