Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180310-WA0042.jpg
 
Wametega sikio balaa. Halafu siku moja paaap [emoji443][emoji445][emoji444]"...anameremeta amepambwa maua..."[emoji443][emoji445][emoji444][emoji443][emoji445][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaaniii watabaki wameshangaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kadi watapewa
 
Halafu jamaa naona hajaona yupo anaendelea kuaga sijui Wakurya na Wazanaki huku moto unamuwakia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anajifanya haelewi somo la kununiwa[emoji23][emoji23]
Ila inawezekana ni njia tu ya kwenda "kununiwa"vizuri nyumbani,usiku huu bhana[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom