Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Macho yake ni makubwa sana na yana uwezo mzuri wa kunasa matukio vyema mbele na nyuma kwa umakini sana. Mbali na uwezo huo wa kuona vyema lakini pia farasi yupo vizuri katika kunusa, hamuwezi kukamatwa kizembe na wanyama wakali hasa wale wanaovizia kwa kujificha ukiwa na farasi, unapomfunga ukiona anapiga kelele na kuinua inua miguu kama anapasha ili atimue mbio, haraka sana mtii na mtoke eneo hilo,