Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1520698377819.jpg
 
kwani mnapokosana farasi nao hukosa raha, nchi zingine watu hutumia farasi kuendea kazini, maharusi hutumia farasi kama usafiri wao pindi wanapokwenda kufunga ndoa na mambo hufaana sana, hivyo hata wewe unayesoma kama una harusi karibuni badala ya kukodi gari tumia farasi kujitofautisha na wageni ndio mambo yanavyokwenda digital, tena hakikisha katika kadi za michango mmepiga picha juu ya farasi, utashangaa michango itavyo miminika.
 
Back
Top Bottom