Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180310-WA0016.jpg
 
****SIFA ZAO ZA KIPEKEE **** 1. Mbali ya kuwatizama jinsia zao unaweza kumjua jike na dume kwa kuhesabu meno, dume huwa na meno manne zaidi ya jike. (40 kwa 36) 2. Akikubeba anapokimbia sehemu za kupita hupiga hesabu mwili wake tuu, hivyo ni jukumu lako kujirinda.
 
u, hivyo ukimpiga kama hakufahamu naye atakupiga. 4. Si wapenzi wa ngono kabisa farasi, ila ni wapenzi wa upendo. 5. Dume la farasi huweza kusisimuliwa kimahaba na mwanamke, ukimpitisha kavaa chupi tuu na akalishika shika ubavuni hudondosha mate na ndio mbinu ambayo hutumiwa kulishawishi likampande jike wake.
 
6. Harufu ya uke wa farasi jike pia humpa mshawasha dume kumpanda. 7. Farasi kwa taarifa yako hutomasana kabla ya kuanza kupendana. 8. Ana uwezo mzuri wa kunusa na kusikia kuliko binadamu. 9. Jicho lake ni kubwa kuliko wanyama wote wa ardhini. 10. Dume la farasi huweza kumpanda punda na pundamilia na akazaliwa mtoto chotara
 
Back
Top Bottom