Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-03-10-17-28-28.jpg
 
16. Wakati wanawake wanasuka kichwani, farasi husukwa mkiani na hii ni kwakuwa vinyweleo vyake vimechanua kwa kiasi kikubwa. Farasi ni mnyama wa fahari sana ni vyema serikali kwenye hifadhi kama kitulo ingeongeza nguvu katika ufugaji,
 
Na wao kumbe hunusa papuchi eh! Makubwa!

6. Harufu ya uke wa farasi jike pia humpa mshawasha dume kumpanda. 7. Farasi kwa taarifa yako hutomasana kabla ya kuanza kupendana. 8. Ana uwezo mzuri wa kunusa na kusikia kuliko binadamu. 9. Jicho lake ni kubwa kuliko wanyama wote wa ardhini. 10. Dume la farasi huweza kumpanda punda na pundamilia na akazaliwa mtoto chotara
 
Back
Top Bottom