We mwache, nitachukua chumba Sea Cliff Hotel!Mzeee utakula ngumi wahi umenuniwa hukuuu
Usiniache hapa. Watu wanajadili mitwangio ya kuenea mkononi, michi ya wastani na ukoboaji wa mahindi. Ondoka na mimi please...Naona wote mko moto[emoji91] [emoji91] [emoji91]
Ngoja nikalale mie[emoji124] [emoji124]
Hiyo ni whisky mkuu bia imezidi sana ni 9%Bia yenye nguvu zaidi ina 68% kama sikosei...
Daaah what a sad story lakini huwezi jua?Cole wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pimbi ana mke bhana amebaki kuwa best angu tu...
[emoji23][emoji23][emoji23]nitasubiriNa unavyo penda kula nabet in case umealikwa halafu ujaenda najilipua humu kwa sekunde tu
Wewe zipende tu mambo mengine baadayeComment yangu wala haikuhusu umuhimu wa hesabu ambao unajulikana (japo haukaziwi sawa sawa). Nina tatizo kubwa na ufundishwaji wake...
Hivi..,,ok...thanks!Asante my Queen hope Siku imekwenda njema ulikwenda kuogelea