Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Bro we ni shemeji darling na huyu taarifa zako zinaukweli kwa asilimia kubwa sanaAaaa wapi...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Bro we ni shemeji darling na huyu taarifa zako zinaukweli kwa asilimia kubwa sanaAaaa wapi...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Twende shemUsiniache hapa. Watu wanajadili mitwangio ya kuenea mkononi, michi ya wastani na ukoboaji wa mahindi. Ondoka na mimi please...
Hongera sana wanawake wa kikerewe yaani hawa chatu wanawakata kama Kuku tu na kuwapasuaIla ni bingwa wa kuminya mbavu...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka sanaMkuu umenuniwa ohooo !!!
Google the strongest beer in the world...Hiyo ni whisky mkuu bia imezidi sana ni 9%
weka karibu na walugaluga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji39] [emoji39] weka mbali na slei kwins
Duniani wawiliwawili...Twende shem
Nitakurudisha baadae
Hata si sad story.Daaah what a sad story lakini huwezi jua?
You never know with woman in chase voice
Naona masaa machache tu utakatifu utaisha rubbish rubbish atakuijia muda si mrefu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndiyo natoka mkuu. Hapa niko "mtakatifu" balaa. Hata mamisambwanda nayakaushia tu sigeuzi shingo wala lile jicho la kuibia ibia. Niko fokasidi balaa. Ngoja nione hii hali itadumu mpaka lini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimaliza kuaga nitonye !!!Usiku mwema wapendwa[emoji124][emoji124][emoji124]
Unamuamini mtoa taarifa kuliko muhusika?Bro we ni shemeji darling na huyu taarifa zako zinaukweli kwa asilimia kubwa sana
Nini tena mkuuDon't speak negativity (hapa namkwoti malkia wako) [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️