Kidowle
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,484
- 3,260
Acha kabisa mkuu hawa kweli ni wenzetu na tunatakiwa tuwapendeUmeona eeh! Mkuu anaweza akawa simple tu kajivalia kanga au kitenge lakini uzuri wake haujifichi.
Acha kabisa mkuu hawa kweli ni wenzetu na tunatakiwa tuwapendeUmeona eeh! Mkuu anaweza akawa simple tu kajivalia kanga au kitenge lakini uzuri wake haujifichi.
[emoji124][emoji124][emoji124]Mkuu mkuuuUsiniache hapa. Watu wanajadili mitwangio ya kuenea mkononi, michi ya wastani na ukoboaji wa mahindi. Ondoka na mimi please...
OK mkuu nimekupataNadhani hilo kwa wanawake ni vazi lao la Taifa na kwa wanaume ni vazi kama hilo lakini jeupe.
Kwa kweli twende tuache watu na mitwangio yao watwangane vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Twende shem
Nitakurudisha baadae
Wivu kidonda[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Mkuu mkuuu
We mi napelekwa puta na nani mi mwenzio MGUMU siku hizi hata mambo hayo sipoHata si sad story.
Am happy for him[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ndoa yake yampeleka puta kama wewe unavyopelekwa puta
Kipofu kaona mweziArsenal 3-0 WAT
Dakika ya 77
Usimrudishe kabisa[emoji19]Twende shem
Nitakurudisha baadae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mi napelekwa puta na nani mi mwenzio MGUMU siku hizi hata mambo hayo sipo
Labda kiumbe mmoja tu ndo atanitoa kuwa MGUMU
Aaaaa wapi !!!Naona masaa machache tu utakatifu utaisha rubbish rubbish atakuijia muda si mrefu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh!!Aaaaa wapi !!!
View attachment 711903