Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
12. Wakati jike akiwa na sifa hizo dume halinaga stress za mapenzi, hata jike wake afe, kwanza hupendelea sana dogodogo na ni jeuri linaweza mpanda jike mdogo mpyaa mbele ya mzee mwenzie. 13. Binadamu anaweza pita katikati ya miguu ya twiga kijana pasina kugusa mwili wake, na bado ikabakia nafasi kubwa tuu juu. 14. Wanyama wanaowinda kama mnyama wanayemtafuta yupo Jilani na twiga huamua kubadili upepo maana huwa anawaharibia sana dili zao, labda mnyama huyu wamzingire na asiwe na mbio sana. 15. Ni mnyama ambaye si mvivu na ana madaha pindi atembeapo.