Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

969B92F0-70EE-47DB-AAD7-B2891D80F345.jpeg
 
Huwa wanapenda kula majira ya asubuhi kabla jua halijawa kali zaidi na desturi yao katika ulaji huwa wanakula kwa kutengeneza duara ili kuweza kuona pande zote kwa ajili ya kuwaepuka maadui zao. Na maranyini pimbi hawa huwa wanakula maeneo ambayo yapo karibu sana na makazi yao kwani inakuwa ni rahisi kukimbia na kujificha ndani ya miamba.
 
Back
Top Bottom