ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
We mwache tu!Halafu aliyenuniwa anajifanya hasikii ana kazi ya kuaga tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Itabidi alipe fine!
Hahahaha
We mwache tu!Halafu aliyenuniwa anajifanya hasikii ana kazi ya kuaga tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kujitetea hamjambo hahahaNumby tunaitanaga vyovyote ruu jamani lol[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Ona sasa [emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo milango imefunguka?
Naviona alaf vina siku na siku[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] uwiiiiiHivyo vinyimbo vyake vinamaana kubwa sana hivyo....
Endeleeni kupendana jirani.....Mpende jirani yako...
Isn't this obvious? Bila oksijeni ya kutosha injini itatokotaje?
Nshukuru Mungu kheri kabisaSalama kabisa....kwako je
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] aisee pilau kuku ni hatariii au ndizi za nazi na kuku wa kienyeji uwiiii hafi nasikia njaa sasa
Tukae kimya tu bro tuangalie. Watu wanajiripua...Duuh si mchezo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]