Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-03-10-16-47-57.jpg
 
Tabia yao ya umoja, kushirikiana huwafanya waonekane ni wababe wa mji, wanyama hawa huogopwa hata na wanyama wenzao wanao winda kwani bifu lao huwa ni lakufunga mtaa, hata simba akiwaona mkia wake huuficha, usiseme kwa fisi nk, huweza kukimbia umbali wa km 71 kwa saa
 
Anaandika Tundu Lissu akiwa Ubelgiji

Wapendwa wangu,
Naomba niwape taarifa ya maendeleo yangu ya kiafya. Ninaendelea vizuri na matibabu. Mguu wa kulia unaendelea kupata nguvu na sasa ninaweza kusimama kwa miguu yote bila msaada wa magongo. .

Hata hivyo, timu ya madaktari bingwa wa mifupa wanaonitibu, wamenitaarifu kwamba kasi ya mfupa wa juu ya goti kuunga ni ndogo sana. .

Madaktari wangu wamesema kwamba wasipoingilia kati na kurekebisha mfupa huo, kwanza, itachukua muda mrefu sana kuunga; na pili, hata ukiunga baada ya huo muda mrefu, hautaunga kwa namna itakayoondoa hatari ya kuvunjika siku za mbeleni. .

Kwa sababu hizi, madaktari wangu wamependekeza kufanya operesheni nyingine kwenye mfupa wa juu ya goti la kulia. .

Hivyo, siku ya Jumatano ijayo ya tarehe 14 March, 2018, nitarudi Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, Gasthuisberg, kwa ajili ya kufanyiwa operesheni hiyo. .

Niko kwenye mikono salama ya kitabibu. Madaktari wangu, Prof. Dr. Stefa Nijs na Prof. Dr. Willem-Jan Mertsemakers, ni madaktari bingwa wa mifupa wanaosifika barani Ulaya kwa utaalamu wao katika fani hiyo. Hivyo, msiwe na hofu. Mungu wetu aliyeniwezesha kuwa hai sasa, ataendelea kutenda miujiza yake kupitia kwa madaktari bingwa hawa.
.
Nitaendelea kuwataarifu maendeleo ya matibabu yangu kadri itakavyokuwa lazima na muhimu kufanya hivyo.

Kama kawaida, nawaombeni muendelee kutuunga mkono mimi na familia yangu kwa maombi na misaada ya kibinadamu ya hali na mali kwa kadri ya Mungu alivyowajalia. .

Mungu awabariki sana.
Amen
 
hivyo kaa ukijua ni viumbe ambao wana hatari sana wakati mwingine humla mnyama wakati wanamkimbiza. Mbwa mwitu wapo wa aina mbili ninaowafahamu wapo hawa ninaowazungumzia ambao kwa lugha ya mama Theresa wanaitwa wild dog, na wapo aina nyingine wanaitwa wolf, tulio nao hapa nyumbani ni hawa wild dog,
 
hivyo kaa ukijua ni viumbe ambao wana hatari sana wakati mwingine humla mnyama wakati wanamkimbiza. Mbwa mwitu wapo wa aina mbili ninaowafahamu wapo hawa ninaowazungumzia ambao kwa lugha ya mama Theresa wanaitwa wild dog, na wapo aina nyingine wanaitwa wolf, tulio nao hapa nyumbani ni hawa wild dog,
 
wolf hatuna katika mbuga zetu. Tofauti yao huanzia katika muonekano, mbwa mwitu wa kwetu ni wadogo sana katika maumbo, wakati wolf ni mbwa mwitu wakubwa sana pengine kuliko tunaowafuga, mbali na muonekano lakini pia majuku yao hufanya kwa staili tofauti, wakati mbwa wa kiAfrika wanapokwenda kuwinda wakiongozana pamoja na kufukuza pamoja windo lao
 
wolf hugawana njia na mmoja wao anapoona windo huanza kwa kulizubaisha akilikenulia meno na kutoa sauti ambayo wenzao hutambua kuwa wanaitiwa nini, wolf ni mnyama anayevutia na anamuonekano mzuri sana na rangi zao ni nzuri sana ukimuona unaweza tamani umkumbatie lakini roho yake ni ya kinyama sana hana huruma hata chembe ni heri ukutane na simba,
 
mbwa mwitu wetu wana sura mbaya hawana rangi nzuri lakini kwa binadamu wana utu sana hawezi kukuvamia pasina sababu, wakati wolf ni viumbe ambao kwa mbio wanaweza fata kwa duma, ndio kwanza mbwa mwitu wetu hawana mbio sana.
 
VYAKULA WANAVYOPENDELEA ********************** Mbwa mwitu ni wanyama wanaokula nyama na wanyama wanaopendelea kuwawinda ni pamoja na paa, mbawala, nyumbu,pundamilia nk pamoja na wanyama hao lakini pia huweza kuwawinda wanyama wakubwa ambao hata simba huwaogopa kama nyati na twiga nk. Mbali na nyama vijamaa hivi pia hula matunda ya polini pamoja na majani ambayo hutumia kama dawa pindi wajisikiapo wagonjwa.
 
Back
Top Bottom