mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Usiku mwema Kigoma
Whatever [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kutwanga si kukoboa....
Ukitembea na mwanafunzi jela miaka 30,sasa sipati picha huyo aliyetembea na mwalim itakuwa ni miaka mingap[emoji2] [emoji2]Upweke jamani[emoji20] View attachment 711961
Kumbe[emoji15] [emoji15] , na tembo je?
Upweke my foot. Kwani yeye kutongoza hawezi?Upweke jamani[emoji20] View attachment 711961
Binafsi sina shida na viongozi kukaa madarakani hata miaka 100 kama wanafanya yaliyo mema kwa nchi zao. Shida ni pale mtu ameng'ang'ania lakini hata anachofanya hakieleweki. Kagame hata akae miaka 50 ijayo as long as Rwanda inazidi kusonga mbele na wananchi wake wanamkubali na kumuunga mkono...
Kuna maisha baada ya urais