Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-03-10-17-07-54.jpg
 
f-Kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa 2pac ambao ni B.I.G na P.diddy walijua kua 2pac angekufa wiki moja kabla ya kifo chake, lakini madai hayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa 2pac Suge Knight nae pia alishawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyo nguli wa hip hop ambaye ndiye muasisi wa kufunga vilemba kichwani.
Huyu meneja ametajwa hata na 50 cents ndio muhisika wa kifo cha tupac kisa hasa ni kuhama kwenye label yake death row records
 
Back
Top Bottom