Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
AkhaaaaaaAtanirudisha hukoo kwenye ukoboaji wa mahindi .
HahahahahaI guess wote wako baked!
Hahahaha
Manish [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Matunda majinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Jina lake Tafadhali
Ni kosa kufungua viwanda kwa Wanyaturu mkuu? Au tatizo liko wapi?naskia leo meshimiwa kazindua viwonder uko kwa wanyaturuu
Kumbe[emoji15] [emoji15] , na tembo je?Farasi ni miongoni mwa wanyama ambao huhitaji msaada sana pindi wanapozaa, hupata maumivu makali huku akitetema tumbo kwa maumivu makali huku akitoa kilio, hata hivyo muda mfupi tuu baada ya kuzaa ndama wake huanza kuruka ruka kwa fujo akimshukuru Mungu kwa kumleta katika ulimwengu wa tofauti na aliokuwapo awali.
Sasa ingekua na wewe upo kariakoo ungepita hewani?Mara paaap kariakoo limedondoshwa simba dume nafikiri kwa binadamu inaweza kuwa zaidi ya nyumbu maana binadamu wengine watakufa kwa kukanyangwa na binadamu wenzie ?
Hii mpya kwangu japo nami nilikuwa nampemda sana huyu jamaaaa-Alipouawa mwili wake uliteketezwa kwa moto, wafuasi wake wa "outlaws" walichukua majivu yake wakachanganya na bangi wakavuta.