Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

chakula chao kikuu ni majani, hupendelea zaidi nyasi fupi, umri wa kuishi hufika mpaka miaka 20 japokuwa huweza kuzidi zaidi ya hapo, wanapendelea kukaa katika makundi na marafiki wao wa jilani ni pamoja na pundamilia na swala, uwezo wa kukimbia ni km 85 kwa saa.
 
Screenshot_2018-03-10-17-17-09.jpg
 
Wanyama hawa hupatikana Afrika tuu, na si nchi zote wapo Angola, Botswana, Kenya, Mozambique, Namibia, South Africa, Swaziland, Zambia, Zimbabwe huku hapa nyumbani Tanzania wakiipa umaarufu nchi yetu kutokana na balaa lao ambalo hulifanya huko Serengeti linaloingia katika maajabu ya Dunia na kupewa jina la kizungu :
 
wakitoka Tanzania kwenda nchi jilani na baada ya hapo hugeuza tena, katika safari yao hiyo nyumbu zaidi ya laki mbili na nusu hufa kwa sababu ya ajali, kuuwawa na wanyama wala nyama, njaa pamoja na magonjwa. Wanyama wanaowawinda sana viumbe hawa ni pamoja na Simba (Mfalme), Fisi (bwana afya),
 
Mbwa Mwitu (wazee wa heka heka) pamoja na chui, duma (mapaka), katika jamii yao nyumbu huwa wanasaidiana katika tatizo lolote lakini si kutoana kwenye midomo ya vifo, ukinaswa huko hilo ni lako, kidogo majike huonesha ubabe pale watoto wao wanapokamatwa na hii ni kutokana na ile siri ya uchungu wa mwana,
 
Siku hizi anasema ni pipiiiii...Mabinti wanahemka balaa. Jana humu wengine ilibidi tuwapepee [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Hahahahaha
 
hili ni moja kati ya jambo ambalo huwafanya binadamu kusema kwamba nyumbu ni wajinga kwakuwa wao wanakuwa wengi lakini wanamkimbia labda simba mmoja, tuseme sawa basi mfano huo tuugeuze kwa binadamu hivi pasina ya kushika silaha binadamu wakiwa wengi akitokea simba mmoja mtasimama
 
Back
Top Bottom