Dahb-Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neno **** YOU! alilomuambia askari aliyemuuliza ni ninikilikuwa kimemtokea.
Hatukoboi mahindi mkuuUkoboaji wa mahindi umeisha mkuu?
Myoya ungekuwa unawekaga na ""Mfungulie mwenzio"" yawezekana ningepata nafuhu ya kufikiriwa kufunguliwa in the FutureMPE mwenzio..
Nimeona bunge la China limebadilisha katiba jamaa mpka achoke mwenyeweBinafsi sina shida na viongozi kukaa madarakani hata miaka 100 kama wanafanya yaliyo mema kwa nchi zao. Shida ni pale mtu ameng'ang'ania lakini hata anachofanya hakieleweki. Kagame hata akae miaka 50 ijayo as long as Rwanda inazidi kusonga mbele na wananchi wake wanamkubali na kumuunga mkono...
Minza Makanyanga Ng'wanamagiligili KisanduJina lake Tafadhali
Siku hizi anasema ni pipiiiii...Mabinti wanahemka balaa. Jana humu wengine ilibidi tuwapepee [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
siyo kosa ila .... ila hi ndo tz ya viwonder na ya kulisu watuNi kosa kufungua viwanda kwa Wanyaturu mkuu? Au tatizo liko wapi?