Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

katika mji wa mzizima( ambao leo hii ndio dar-es salaam) alijenga hospitali akaiita sewahaji hospitali ikitoa huduma bure , mnamo february 1897 sheikhe sewa haji paroo alifariki dunia, ilikuwa huzuni na simanzi kwa wakazi wa bagamoyo na mzizima kwa kuondokewa na sheikhe sewa haji aliyependwa sana.
Ward namba 4 pale Muhimbili ndiyo imepewa jina lake kumbe. Na aliwapa hilo eneo. Mungu Ambariki huko aliko. Niliponea katika wodi hiyo...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Screenshot_2018-03-11-18-00-27.jpg
 
Handeni.Watu wawili wamefariki dunia na nyumba sita zikiezuliwa na upepo wilayani Handeni mkoani Tanga kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana, Machi 9, jioni.



Akielezea tukio hilo Diwani wa kata ya Msasa wilayani hapa Hossein Omari amesema mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Mhando (32) amefariki baada ya kupigwa na radi wakati akitoka msikitini saa kumi jioni.
Nipo Handeni yap tukio real nilikwenda kushuhudia nilikuwa napita kwenda mkata
 
Tungepa masuluhisho ingekuwa poa sana naangalia ukanda wetu huu Uganda na M7 ,Rwanda na kagame ,Burundi na Nkurunziza ,Congo DRC na Kabila, Angola na Dos Santos ,ni shida sana Bila sahau Sudan na Barre yaani sometimes maneno ya Trumb yanaishi
Binafsi sina shida na viongozi kukaa madarakani hata miaka 100 kama wanafanya yaliyo mema kwa nchi zao. Shida ni pale mtu ameng'ang'ania lakini hata anachofanya hakieleweki. Kagame hata akae miaka 50 ijayo as long as Rwanda inazidi kusonga mbele na wananchi wake wanamkubali na kumuunga mkono...
 
Back
Top Bottom