Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aliyewahi kuwa mchezaji wa zamani wa Manchester united apewa daraja la upadre.

Tarehe 08julai,2017 kanisa la Northern Ireland lilipata padre mpya, Fr.Philip Murlyne aliyepata kuwa mchezaji wa zamani wa timu ya mpira wa miguu ya Manchester united. Padre Philip alipewa daraja la upadre katika shirika la wadomisiani(Domician order). Padre murlyne, ambaye ameripotiwa kuwa alikuwa akipokea kiasi cha Euro 600,000 kwa mwaka ameweka nadhiri ya ufukara.
 
Katika maisha yake ya michezo, padre Philip alifanikiwa kujiunga na timu ya Manchester united mwaka 1997 baada ya kuonyesha kipaji chake katika timu za vijana na pia kuichezea timu ya Taifa ya Northern Ireland. Alistaafu rasmi soka mwaka 2009 na akaanza safari yake ya kuelekea wito wa upadre na akajiunga na seminari.
 
Nini ahahaa
Kumbe likes[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hizi anasema ni pipiiiii...Mabinti wanahemka balaa. Jana humu wengine ilibidi tuwapepee [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Miaka miwili alisoma masomo ya filosofia katika chuo cha Queen's university cha Belfast na Maryvle institute kabla ya kujiunga na Pontifical Irish College Roma kwa mwaka mmoja katika chuo kikuu cha Gregorian.

Alijiunga katika Nyumba ya unovisi mjini Cork mwaka 2012 na kupadrishwa mwaka 2017.
 
Ebu nipe nafasi Leo nikwambie vitu vichache kuhusu dikteta Adolf Hitler
Adolf Hitler ni mtawala maarufu zaidi katika karne ya ishirini , kiongozi aliyetawala ujerumani kati ya mwaka 1934 mpaka 1945 kama ulikuwa hujui.
 
Hitler ndiye mwanzilishi mkuu wa vita ya pili ya dunia.
-Adolf Hitler ndiye aliyeanzisha sheria ya kutovuta sigara hadharani, alikuwa mvuta sigara enzi za ujana wake na alikuja kuacha baadae akidai ni utumiaji mbaya wa fedha
 
-Huwezi kuamini lakini ukweli ni kwamba Adolf Hitler alikuwa na KORODANI moja tu. Licha ya kufurahia kuua sana binadamu, Adolf Hitler alipinga sana ukatili wa wanyama na alikuwa hali nyama ya aina youote ile!.
 
Back
Top Bottom