Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-03-11-18-00-09.jpg
 
Legend wa muziki wa reggae, bob marley aliomba siku anazikwa pawe na vitu vitano maalum atakavyozikwa navyo.
matakwa ya bob marley yalifuatwa na familia yake wakati anazikwa na kuhakikisha star huyu muhimu duniani kwenye muziki alizikwa na vitu vitano ambavyo ni
 
1:mpira wake wa miguu
2:msokoto wa bangi
3:bible moja
4 pete aliyopewa na prince ASFA wassen wa ethiopia
5:guitar la les paul ambalo baadae palizuka utata kuwa lilikuwa guitar la [ fender telecaster].
 
Jumapili nzuri mno. Ndo natoka misa ya kwanza. Niko safiiiiiii !!!
Vipi wewe? Kale kanyoka bado kapo? Kaambie nakasalimia. Nakaletea mamende makubwa hamsini kaje kale kanenepe ili kaendelee kukuwinda vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me namshukuru Mungu kwakweli.

Halafu wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Legend wa muziki wa reggae, bob marley aliomba siku anazikwa pawe na vitu vitano maalum atakavyozikwa navyo.
matakwa ya bob marley yalifuatwa na familia yake wakati anazikwa na kuhakikisha star huyu muhimu duniani kwenye muziki alizikwa na vitu vitano ambavyo ni
 
1:mpira wake wa miguu
2:msokoto wa bangi
3:bible moja
4😛ete aliyopewa na prince ASFA wassen wa ethiopia
5:guitar la les paul ambalo baadae palizuka utata kuwa lilikuwa guitar la [ fender telecaster].
 
Anaandika Tundu Lissu akiwa Ubelgiji

Wapendwa wangu,
Naomba niwape taarifa ya maendeleo yangu ya kiafya. Ninaendelea vizuri na matibabu. Mguu wa kulia unaendelea kupata nguvu na sasa ninaweza kusimama kwa miguu yote bila msaada wa magongo. .

Hata hivyo, timu ya madaktari bingwa wa mifupa wanaonitibu, wamenitaarifu kwamba kasi ya mfupa wa juu ya goti kuunga ni ndogo sana. .

Madaktari wangu wamesema kwamba wasipoingilia kati na kurekebisha mfupa huo, kwanza, itachukua muda mrefu sana kuunga; na pili, hata ukiunga baada ya huo muda mrefu, hautaunga kwa namna itakayoondoa hatari ya kuvunjika siku za mbeleni. .

Kwa sababu hizi, madaktari wangu wamependekeza kufanya operesheni nyingine kwenye mfupa wa juu ya goti la kulia. .

Hivyo, siku ya Jumatano ijayo ya tarehe 14 March, 2018, nitarudi Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, Gasthuisberg, kwa ajili ya kufanyiwa operesheni hiyo. .

Niko kwenye mikono salama ya kitabibu. Madaktari wangu, Prof. Dr. Stefa Nijs na Prof. Dr. Willem-Jan Mertsemakers, ni madaktari bingwa wa mifupa wanaosifika barani Ulaya kwa utaalamu wao katika fani hiyo. Hivyo, msiwe na hofu. Mungu wetu aliyeniwezesha kuwa hai sasa, ataendelea kutenda miujiza yake kupitia kwa madaktari bingwa hawa.
.
Nitaendelea kuwataarifu maendeleo ya matibabu yangu kadri itakavyokuwa lazima na muhimu kufanya hivyo.

Kama kawaida, nawaombeni muendelee kutuunga mkono mimi na familia yangu kwa maombi na misaada ya kibinadamu ya hali na mali kwa kadri ya Mungu alivyowajalia. .

Mungu awabariki sana.
 
1:ROLLS ROYCE(PHANTOM V)
-Gari hili lilitengenezwa nchini uingereza na kutolewa na nchi hiyo kwa rais wa kwanza wa Tanzania mwalimu julius kambarage nyerere mnamo mwaka 1965.
 
Back
Top Bottom