carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yupo sanaHahahahaha hivi KK yupo kweli miss sana mentally Wangu
Yupo sanaHahahahaha hivi KK yupo kweli miss sana mentally Wangu
Msa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Maziwa yana nguvu kuliko...
DimirBerbertov
Waarabu walikuwa wakimpa vyombo na bidhaa za kauli, kama ujuavyo wakati ule biashara zilikuwa za kubadilishana zaidi. Mama huyu sifa yake inayomuweka katika historia yetu ni ujasiliamali.
Duh ila mwenyewe anajitetea anaheshimu mkataba alionao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanamakuka aliolewa na chifu pazi , chifu wa kizaramo walikaa katika ndoa na mumewe lakini hawakubahatika kupata mtoto kurithi na kuendeleza jina.
Mwanamakuka alifariki mnamo mwaka 1793 na kuzikwa hapo bagamoyo katika nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe pia chifu pazi alifariki na kuzikwa hapo hapo nyumbani kwake bagamoyo.