SIFA ZAO ZA KIPEKEE*********** 1. Maisha yao ni mpela mpela, hakunaga muda wa kupumzika muda wa kazi kila kitu ni mchaka mchaka tuu, wanaharaka pasina mfano.
7. Hutu tujamaa huwa hatukubali kushindwa, na kushindwa kwao ni kurudi nyuma kujipanga. 8. Hutambua wanyama wagonjwa na hutumia sana fursa hiyo kuwakamata hasa wale wakubwa kama nyati na twiga.