Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-03-10-16-12-05.jpg
 
UKIKUTANA NAO UFANYE NINI **************** Inasemekana viumbe hawa pamoja kwamba ni wapenzi wa nyama lakini hawanaga neno na mwanadamu, humuheshimu kama mbwa anaowafuga wanaomuheshimu, sasa basi heshima unayopewa itumie vizuri,
 
, sio unaanza kuleta tabia zetu za kiswahili ukiona mbwa unaokota jiwe na kumtupia, hawa jamaa hawapendagi dharau, lakini pia hakikisha hauna sehemu inayovuja damu kwani wakiisikia tuu wafyaa ! wakati huo endelea kufanya jitihada za kupotea maeneo hayo, maana ni binadamu tuu ndiyo amepewa ufahamu timilifu japokuwa naye hujichetua inapobidi.
 
Wanyama hawa wapo wengi sana nasikia ukiweka utaratibu mzuri wa kutembelea mbuga zetu bila kukata tamaa, kuna siku unaweza pewa nyongeza mbwa mwitu au fisi maana tunao wengi sana hapa Bongo, pitia mbuga zetu ukajionee timbili la wababe hawa wa mji.
 
Back
Top Bottom