Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MFAHAMU NDEGE MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI. (THE LARGEST LIVING BIRD ON EARTH) Ni kwa mara nyingine tena katika mfululizo wa makala zangu za uchambuzi, za kitafiti katika mambo kadha wa kadha ya kihistoria, kisayansi, kifalsafa na pia kitamaduni.
 
viumbe hai katika kundi la ndege wapo wengi sana, mifano ya ndege hao ni kama vile KUKU, NJIWA, KANGA, BATA MZINGA. KASUKU.nk. Lakini utofauti wake ndege huyu na ndege wengine ni kwamba yeye ni mkubwa kuliko ndege wote katika sayari hii ya dunia (The Largest Living Bird on Earth). Pia ana sifa nyingine nyingi za kipekee za kushangaza ambazo humtofautisha na ndege wengine
 
Ndege huyu anafahamika kwa jina la MBUNI au katika jina la kingereza anaitwa OSTRICH. Makala hii itajikita katika kumfahamu ndege huyu kwa kuziangalia sifa zake zinazoshangaza. Tumfahamu MBUNI kwa kuyaangalia mambo haya 13.
 
1. MBUNI ANA UKUBWA GANI? Mbuni ni ndege mkubwa na mzito kuliko ndege yoyote yule duniani. Mbuni anakua mpaka kufikia urefu wa Mita 2.9 na uzito unaofikia 145 kilograms au kama uzito wa watu wazima wakubwa wawili.
 
2. MACHO YA MBUNI. Jicho la mbuni lina ukubwa wenye mzunguko wa inch 2 au sentimeta 5 ambalo ndio jicho kubwa kuliko jicho la kiumbe yeyote yule anayeishi ardhini. Mbuni ni kati ya aina mbili tu za ndege duniani ambao macho yao yana Nyusi (Eye Lashes). Mbuni ana nyusi ndefu za macho kama macho ya binadamu.
 
3. JE MBUNI ANAPAA KAMA NDEGE WENGINE? Mbuni ndi ndege mkubwa ambaye hawezi kuruka hewani. Watafiti wa wanyama na ndege wanadai kua, kutokakana na uzito alionao mbuni unaofikia kilo 145 unampa ugumu wa kuweza kuruka hewani. Lakini mbuni ameumbwa na miguu mirefu yenye misuli imara sana ambayo ni maalumu kwa ajili ya kukimbia
 
Tofauti na ndege wengine ambao miguu yao huwa na vidole vitatu (3) au vinne (4). Mbuni ndiye ndege pekee duniani ambae miguu yake ina vidole viwili (2) tu jambo ambalo humfanya aweze kukimbia kwa kasi sana na kumfanya aweze kumshinda mbio adui yoyote yule anaemkimbiza pia sifa hii humuweka
 
Mbuni kua Ndege anaekimbia zaidi dunia kupita ndege yeyote yule ardhini ( the fastest land speed of any bird.) 4. MBUNI ANAKIMBIA KWA KASI YA KIASI GANI? Kwa sababu Mbuni hawezi kuruka angani kama ndege wengine basi ameumbwa na miguu imara inayomfanya aweze kukimbia kwa speed inayofikia kilometa 70 kwa saa (70km/h)
 
hii ni speed ya ya juu kabisa ya Mbuni mkubwa. Pia anaweza kukimbia kilometa 50 kwa saa moja (50km/h) pasipo kupumzika. Sifa hii humfanya kua The Fastest Bird in The World. Akiwa anakimbia hatua yake moja huwa ni mita 3 au mita 5
 
Ukifuatilia hizi documentary za wanyama na ndege uragundua kumbe na wao wana taratibu zao za maisha ambao wengi huzifuata lakini wako cheaters ambao hutaka kuziruka taratibu hizo lakini mara nyingi huwa hawafanikiwi.

MFAHAMU FARASI ! Farasi ni mnyama anayefugwa na hutumia majani kama chakula chake kikuu, mbali na majani pia ni mpenzi sana wa matunda vitu kama karoti, apple anatumiaga pia, ukiondoa matunda hayo viazi mviringo pia hupendelea sana, Ni mnyama anayebeba mimba kwa miezi 11 mpaka 12 kabla ya kuzaa, mtoto hutanguliza miguu ya mbele kisha kichwa hufuata,
 
Mabawa makubwa ya mbuni yanayofikia urefu wa mita 2 humuwezesha mbuni kukata kona au kubadili uelekeo pale anapokua anakimbia, vile vile humsaidia katika kupiga breki za ghafla pamoja na kukimbia kwa mtindo wa zig-zaga. 5.
 
JE MBUNI NI HATARI AKICHOKOZWA AU AKIKUTANA NA ADUI? Mbuni akichokozwa au akikutana na adui anaweza kushambulia na kuua. Mbuni hutumia miguu yake kama silaha, ambapo hutumia kwa kupiga teke kuelekea mbele kama binadamu
 
Lakini pia mbuni hula Mijusi, Nyoka na wanyama wadogo wadogo mfano, Panya. Jambo la kushangaza hapa ni kwamba, mbuni hula mchanga na kokoto ambavyo humsaidia kusaga saga chakula kilichohifadhiwa katika FIRIGISI kabla ya kuelekea tumboni, hii humfanya mbuni kua na uwezo wa kula chakula chochote ambacho wanyama wengine hawana uwezo wa kula kama akiwa katika mazingira yenye uhaba wa vyakula.
 
Watafiti wanasema kwamba teke moja la mbuni ni zito kiasi kwamba linaweza kumuua simba mkubwa au binadamu. Na pia vidole vyake hivyo viwili vina kucha kubwa ngumu zilizojitokeza nje kwa urefu wa sentimeta 10 huku ndani zikiwa zimeingia kwa urefu wa sentimeta 4 ambazo ni hatari vile vile.
 
Back
Top Bottom