Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini pia mbuni hula Mijusi, Nyoka na wanyama wadogo wadogo mfano, Panya. Jambo la kushangaza hapa ni kwamba, mbuni hula mchanga na kokoto ambavyo humsaidia kusaga saga chakula kilichohifadhiwa katika FIRIGISI kabla ya kuelekea tumboni, hii humfanya mbuni kua na uwezo wa kula chakula chochote ambacho wanyama wengine hawana uwezo wa kula kama akiwa katika mazingira yenye uhaba wa vyakula.
 
Jambazi Aliingia Kanisani mkononi ana bunduki kisha akasema hivi: 'Acheni KUSALI Sikilizeni kwa Makini. Wanaojifanya Wanampenda YESU Wabaki humu ndani Niseme nao, Wasiompenda Watoke NJE Haraka.

WATU Wote Wakatoka Mbio tena Mchungaji Akatokea Dirishani kwa kuona Mlangoni kuna Msongamano Akabaki mpiga Kinanda na Wazee wawili wa KANISA.

Jambazi Akasema WAZEE wangu ENDELEENI na Ibada. Nilikuwa Nawaondolea wanafiki Kanisani
Hahahahaha
 
Mbuni wanaweza kustahimili kuishi sehemu yenye joto kali na uhaba wa maji. Mbuni haitaji kunywa maji hii kwa sababu maji yeye huyapata kupitia mimea anayokula hivyo humfanya kuishi muda mrefu pasipo kunywa maji. Sababu hii inamfanya mbuni kufananishwa na NGAMIA, ambapo hapo zamani watu walisema mbuni ni muunganiko wa ngami na ndege,
 
hata jina la kisayansi la mbuni ni STRUTHIO CAMELUS. 7. MAYAI YA MBUNI YANA UKUBWA GANI? Mbuni hutaga mayai 6 hadi 10 ambapo yai la mbuni ndio yai kubwa kuliko yai la ndege yeyote duniani, huwa lina uzito wa kilo moja na Nusu (1.5kg) au uzito wa yai moja la mbuni ni sawa sawa na mayai 24 ya kuku wa kawaida. Ili liweze kutotolewa, linaatamiwa kwa muda wa wiki sita (siku 42 mpaka 46). Mbuni dume huwa analalia mayai wakati wa Usiku na mbuni jike yeye hulalia mayai mchana
 
hata jina la kisayansi la mbuni ni STRUTHIO CAMELUS. 7. MAYAI YA MBUNI YANA UKUBWA GANI? Mbuni hutaga mayai 6 hadi 10 ambapo yai la mbuni ndio yai kubwa kuliko yai la ndege yeyote duniani, huwa lina uzito wa kilo moja na Nusu (1.5kg) au uzito wa yai moja la mbuni ni sawa sawa na mayai 24 ya kuku wa kawaida. Ili liweze kutotolewa, linaatamiwa kwa muda wa wiki sita (siku 42 mpaka 46). Mbuni dume huwa analalia mayai wakati wa Usiku na mbuni jike yeye hulalia mayai mchana
 
Ganda la Yai la mbuni ni gumu sana kiasi kwamba mtu mzima anaweza kusimama juu ya yai hilo pasipo yai kuvunjika. Gharama ya yai moja la mbuni hufikia dola 45 ambayo ni sawa sawa na shilingi 100,000 (Laki moja) za Kitanzania
 
8. VIFARANGA WA MBUNI WANA UKUBWA GANI? Mbuni watoto huzaliwa wakiwa na ukubwa unaolingana na kuku mkubwa. Wanapofikisha umri wa mwezi mmoja hua na uwezo wa kukimbia speed ya kilometa 55 kwa saa (55km/h). Wanapofikisha umri wa miezi 6 huwa wamerefuka urefu unaowakaribia wazazi wao. Mbuni hua tayari kwa kuanza kutaga mayai (maturity) anapofikisha umri wa miaka 4. 9.
 
UNAWEZAJE KUMTAMBUA KWAMBA HUYU NI MBUNI DUME NA HUYU NI MBUNI JIKE? Mbuni dume ana mchanganyiko wa manyoya yenye rangi nyeusi na nyeupe (black and white) wakati mbuni jike ana rangi ya kahawia (light brown). Mbuni dume wakati mwingine hutoa sauti au kunguruma kama Simba.
 
10. MBUNI ANAPATIKANA SEHEMU GANI. Ndege aina ya Mbuni ni wenyeji wa bara la Afrika. Na wanaishi katika maeneo ya Savanna, savanna ni maeneo tambarare yenye nyasi fupi fupi na yasiyo na miti mingi. Inasemekana kwamba hapo zamani kabla ya vita ya kwanza ya dunia Mbuni walikuwepo pia maeneo mengine kama ya bara la Asia, lakini kutokana na uwindaji mkubwa wa ndege hao kwa ajili ya mayai nyama, manyoya na ngozi yao kwa hivi sasa Mbuni hawapo tena katika nchi hizo. Uzuri ni kwamba ndege huyu wa ajabu hupatikana kwa wingi hata katika nchi yetu ya Tanzania, katika maeneo mengi ya mbuga zetu za wanyama
 
11. MBUNI ANAISHI MIAKA MINGAPI? Mbuni wana uwezo wa kuishi miaka 40 mpaka 45, lakini wapo wengine wanaosema Mbuni ana uwezo wa kuiashi miaka 50 hadi 70. Hata wakiwa katika umri wa uzee Mbuni bado wanakua na uwezo wa kuzaliana.
 
12. MBUNI MMOJA ANAUZWA SHILINGI NGAPI UKIHITAJI KUMNUNUA? Mbuni ni ndege mwenye gharama kubwa duniani, hii inatokana na kwamba nyama yake, manyoya yake na ngozi yake ni vitu vinavyopendwa sana na binadamu kwa matumizi. Mpaka sasa manyoya yake bado yanatumika kama mapambo katika baadhi ya nguo za gharama. Hivyo gharama ya mbuni mmoja hufikia dola 975 ambazo ni sawa na shilingi 2180000 ( milioni mbili laki moja na themanini) za kitanzania.
 
13.JE MBUNI ANAWEZA KUFUGWA? Mbuni ndege ambae kwa sasa ameanza kufugwa katika maeneo mengi duniani kwani watu binafsi pamoja na serikali nyingi duniani zimeanzisha mashamba kwa ajili ya kuwafuga mbuni. Hii imepekea Shirika la Umoja wa Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Asili - The International Union for Conservation of Nature (IUCN) kuondoa kundi la ndege aina ya mbuni katika LISTI NYEKUNDU (IUCN RED LIST) ya viumbe walio katika hatari ya kutoweka duniani. Kwani kwa sasa mbuni ni wengi sana duniani. I
 
2- Gerard Piqué wa FC Barcelona historia yake na shule aliyosoma kwao Hispania inatosha kujua ni kijana aliyetoka katika familia ya inayojiweza, Pique amesoma shule ambayo hawasomi watoto wanaotokea katika familia za chini, hiyo inatokana na gharama ya ada katika shule hiyo.
Huyu ndio mume wake shakira kama sikosei
 
Back
Top Bottom