13.wakishiba muda wao mwingi hutumia katika michezo, mfano kupigana , kukimbizana nk. 14. Kachezee chochote alichonacho Ila ukitaka ubaya naye kaguse watoto wake na kama kamoja kambeya kapige kelele, jicho utalopigwa litasadifu unachokwenda kufanywa. 15. Jike hupandwa na dume mbabe, hivyo wanyonge wa mwisho huenda kutafuta majike katika koo zingine na huo huweza kuwawinda mwanzo wa kuanzisha jamii yao mpyaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu fafanua rais wa nchi gani
Humu tushaona from 2016 to 2017Leo nataka nione siku inavyobadilika kwenye sim from Sunday to Monday. Hvyo tu then ndo nalala
Pamoja sana nipo huku now 4hrs ago nawapa likes za kutoshaSalama kabisa mzee wa ini
Habari ya wewe