mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kama Raila na Uhuru
Mnaweza kujilissu wenyewe hata msipolissuliwa. Hamuelewekagi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna wa kumlissu safari hii
Wacha tuone mwisho wakeKijana wa Kiduku anamchezea Trump kisaikolojia....
View attachment 712408
HahahahahaAnauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amun RaSafi sana mkuu. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
HahahahahaNataka niwaone wewe na BAK pamoja na mzee Rutta mstari wa mbele kabisa mkiwakilisha uzi wetu pendwa. Itapendeza sana !!!
Tanzania ni nchi pekee ambapo risasi inapigwa hewani inashuka chini na kwenda kwenye daladalaMnaweza kujilissu wenyewe hata msipolissuliwa. Hamuelewekagi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe unapotea mno siku hizi kha !!!Marafiki habari zenu
Bomba kabisa mkuu niajeMarafiki habari zenu
Gr8Marafiki habari za siku hii muhimu
Huyu mdada akamshtak mpenzi wake aliyemuanika fb hahahaNumbisa, unamuona Raheli wako wa jana? Wanamletea gumzo huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 712414
Watu wa Ballistics wanaweza kukupinga.....Tanzania ni nchi pekee ambapo risasi inapigwa hewani inashuka chini na kwenda kwenye daladala
Itapendeza zaidi hasa ben ten wa isis akiwa na jezi yake ya liver hahahahaNataka niwaone wewe na BAK pamoja na mzee Rutta mstari wa mbele kabisa mkiwakilisha uzi wetu pendwa. Itapendeza sana !!!