Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tumuone kwenye Tiviiiiiiiiiii !!!Itapendeza zaidi hasa ben ten wa isis akiwa na jezi yake ya liver hahahaha
Beautiful jamani
I like this....Deep !!!
HahahahaPata likes mambo mengine baadaye
It’s the power of number five!I like this....Deep !!!
Unaitumiaje sasa?It’s the power of number five!
Hamna binadamu anayeweza kuishinda number tano!
Number tano ni moto wa kuotea mbali sana!
Ukiwa ni mtoto wa tano kuzaliwa au address yako au number ya gari na kadhalika!Unaitumiaje sasa?
Mkuu poleni sana, nilikuwa mahali ambapo mtandao hausomi.Nawe unapotea mno siku hizi kha !!!
Nimekuita hapa ili unisaidie kumtuliza muungwana sana wala hupatikani bwana. Kwema lakini?