Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siku inaenda poa.Lengo langu mojawapo kubwa mwaka huu ni kula likes nyingi iwezekanavyo. Siku inaendeleaje?
Naona. We endelea kukimbiza tu. Na mimi najitahidi kuzimwagia. Karibu unajoin 300K club...Siku inaenda poa.
Kama unakumbuka zamaan nilikujibu kitu flan hivi ulipokumbushia kuhusu post zangu kutokua na likes lengo linatimia taratiiibuuu