Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiii nimechekaaa...
"Nyuraa" alitoa mkwara mzito wa "ukienda usirudi"
"Mkuu" ikambidi abaki maana "jirani" alikuwa motoooo[emoji23][emoji23][emoji23]

Shemejiiiiiii
Jirani ana mtwangio unaoenea mkononi. Wenye vinu kaeni chonjo. Na inavyoonekana anatwanga na kukoboa kabisa. Shauri yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Summary nzuri sana ya kilichokuwa kinaendelea jana. Bila shaka kwenye kile kipengele cha ufupisho kwenye lugha ulikuwa unagonga A...Safi sana...

==> Jirani aliamua kujitangaza kuwa ana mchi unaoenea mkononi. Na reaction ya watwangwaji haikudisapointi kwa kweli...Atawapangaaaa [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Ndugu yako babe S ana pitia magumu,tushirikiane kumuonea huruma,hivi vitoto vya shule ni visumbufu sana.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Sijui ISIS yatakayo mkuta baada ya kum-Ben10-nisha mzee wa liver
Ben10 mpya mkomavu yule. Ye ni Forex tu, kuaga na kusalimia nchi nzima hata kama kanuniwa ila baadaye anarudi na kurekebisha mambo. Yuko vizuri !!!
 
Hahahaahahaaaa
Jiraniiiii

Usiku wa kupeana...
Pipi kijiti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…