Je,mawe ya figo huwa ya kiasi,na umbo gani na hutokea wapi?
Mawe ya figo huwa na umbo na kiasi tofauti.Yanaweza kuwa madogo kuliko changarawe au kubwa kama mpira wa tenisi. Umbo la jiwe la figo linaweza kuwa la mviringo au umbo la yai. Linaweza kuwa laini, ambapo halisababishi maumivu makali na huweza kutoka lenyewe.I wapo umbo lake ni laini, na umbo lake si laini (irregular/jagged) uleta maumivu na huwa mengi na ni vigumu kutoka lenyewe.