carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Anaongelea lile laini kabisa mdebwedo 60+ inches, kiuno cha nyigu mbuzi kagoma ndiyo unalipa kimdabuo fulani hivi halafu unaangalia kanuni za Isaka Niutoni na gravity zikifanya kazi laivu...
Kwema mkuu?
Jioni murua kabisa kwa hewa shawishi kwa kilimo cha mitama,mahindi maharage uwele,sungwi karanga etc
Kilimo!!! Unaenda shambani usiku??
Jion saiv sio usiku
Jioni sio muda wa kilimo bhana
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] malumbano ya maandaeitini raha sanaKwetu ni muda muafaka
Halafu nduguyo anajifanya haelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] malumbano ya maandaeitini raha sana
Eti Nondo alifuata mapenzi IringaHalafu nduguyo anajifanya haelewi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo mana anafeli
Hata mimi nashangaa sana,sijui haya makabila yamekosea wapi kwenye jamii ya Kitanzania!!!
Nondo ndio nan?Eti Nondo alifuata mapenzi Iringa
Yaani,acha tuRangi yako hiyo naona udenda unakuchuruzika kwa kuitamani 😛😛😛
Hata mchana niliona ukimkanya kwa maneno ya "Ndio mana unafeli"[emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu nduguyo anajifanya haelewi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo mana anafeli
HahahahaNondo ndio nan?