Hahahahaha si avatar yako jaman kama unaogopa shida mbona unaipenda hivyo avatarHaunipendi Numbisa!!
Maji kwetu ni ya shida sana,huwa sinywi mara kwa mara.
Nitapata shida nikipelekwa kule
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hakika Mungu ni mwema,kila kitu kina kwenda kwa wakati ili kusudi lake litimie.
Haya,kule umeenda kumuona? Anaendeleaje?
Mmmh wachoyooo,ubuyu wa pm mnakujaNimekuja kumuona,niko huku tangu jana.
Anaendelea vizur sana nashukuru Mungu,japo kama wiki3 zilizopita alipata ajali,ila yuko vizuri sana.
Asante kwa kujali shem[emoji120][emoji120]
Kuongelea huku robo robo si mfunguke tu jamanPole sana. Mbona haukuniambia mama?
Mungu aendelee kutenda ili arudi kwenye afya yake. Mpe pole sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo Shimba kamuona Numbisa...View attachment 715470
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh wachoyooo,ubuyu wa pm mnakuja
Kuongelea huku robo robo si mfunguke tu jaman
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ngoja niitoe...Hahahahaha si avatar yako jaman kama unaogopa shida mbona unaipenda hivyo avatar
Aaah iacheee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ngoja niitoe...
Ubuyu kama huu,cheki walivyopooza red kapeti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapenda ubuyu kama soudy brown,muone..
Lugha ilikuja na majahazi hii....View attachment 715478 tupo poa ofisi ya matikitiView attachment 715478